Matokeo ya Ajira orodha ya majina ya walimu Walioitwa Kazini Ajira Portal na utumishi 2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliopitia usaili kati ya tarehe 2 Septemba 2024 hadi tarehe 5 Aprili 2025 kuwa:
Matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo yameorodheshwa katika tangazo hili.
Orodha hii pia inajumuisha baadhi ya waombaji waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao sasa wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
PDF ya Pili kuitwa kazini walimu na kada mbalimbali 11/06/2025
Hii ni mpya ya walioitwa kazini
Hii ni orodha ya walioitwa siku ya leo 11/06/2025
Kupata Barua za Kupangiwa Vituo vya Kazi
Wasailiwa wote waliofaulu usaili na kupangiwa vituo vya kazi, barua zao za kupangiwa vituo watazipata kupitia akaunti zao za Ajira Portal, kwenye sehemu ya My Applications.
Mnapaswa kupakua (Download) na kuchapisha (Print) barua hizo na kwenda nazo kuripoti katika vituo vya kazi mliyopangiwa.
Maelekezo ya Kuripoti Kazini
Waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri ndani ya muda uliobainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi.
Mnapaswa kwenda na vyeti halisi (Original Certificates) vya masomo kuanzia Kidato cha Nne na kuendelea, kwa ajili ya kuhakikiwa na Mwajiri kabla ya kupewa barua ya ajira.
Kwa Waombaji Ambao Majina Yao Hayapo
Waombaji kazi ambao majina yao hayapo katika tangazo hili wanatambua kuwa hawakupata nafasi au hawakufaulu usaili.
Hivyo, Matokeo ya Ajira Walimu Walioitwa Kazini Ajia Portal na Utumishi 2025 wanahimizwa kuendelea kuomba nafasi za kazi zitakazotangazwa katika kipindi kijacho.
Soma zaidi: Walioitwa Kazini Ajira Portal 2025
Leave a comment