Home Ajira Matokeo ya Ajira Walioitwa Kazini Wizara ya Afya 13-06-2025
Ajira

Matokeo ya Ajira Walioitwa Kazini Wizara ya Afya 13-06-2025

Matokeo ya Ajira Walioitwa Kazini Wizara ya Afya 13-06-2025
Matokeo ya Ajira Walioitwa Kazini Wizara ya Afya 13-06-2025

Matokeo ya Ajira orodha ya majina ya Walioitwa Kazini Wizara ya Afya 13-06-2025 Ajira Portal 2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 06-05-2025 na tarehe 07-05-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo yameorodheshwa katika tangazo hili.

Walioitwa Kazini Wizara ya Afya

Orodha hii pia inajumuisha baadhi ya waombaji waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao sasa wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Kuitwa kazini Wizara ya Afya PDF

Hii ni orodha ya walioitwa kazini Afya leo 13/06/2025

Angalia majina mengine ya walioitwa kazini kada za afya

Kupata Barua za Kupangiwa Vituo vya Kazi

Wasailiwa wote waliofaulu usaili na kupangiwa vituo vya kazi, barua zao za kupangiwa vituo watazipata kupitia akaunti zao za Ajira Portal, kwenye sehemu ya My Applications.

Mnapaswa kupakua (Download) na kuchapisha (Print) barua hizo na kwenda nazo kuripoti katika vituo vya kazi mliyopangiwa.

Maelekezo ya Kuripoti Kazini Afya

Waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri ndani ya muda uliobainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi.

Mnapaswa kwenda na vyeti halisi (Original Certificates) vya masomo kuanzia Kidato cha Nne na kuendelea, kwa ajili ya kuhakikiwa na Mwajiri kabla ya kupewa barua ya ajira.

Kwa Waombaji Ambao Majina Yao Hayapo

Waombaji kazi ambao majina yao hayapo katika tangazo hili wanatambua kuwa hawakupata nafasi au hawakufaulu usaili.

Hivyo, wanahimizwa kuendelea kuomba nafasi za kazi zitakazotangazwa katika kipindi kijacho.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Matokeo ya Ajira Walioitwa kwenye Usaili Newala 2025
Ajira

Matokeo ya Ajira Walioitwa kwenye Usaili Newala 2025

Haya hapa matokeo ya ajira na majina ya Walioitwa kwenye Usaili Newala...

Matokeo ya Ajira Walioitwa kwenye Usaili Manispaa ya Temeke 2025
Ajira

Matokeo ya Ajira Walioitwa kwenye Usaili Manispaa ya Temeke 2025

Haya hapa matokeo ya ajira na majina ya Walioitwa kwenye Usaili Temeke...

Matokeo ya Ajira Walioitwa kwenye Usaili Buhigwe 2025
Ajira

Matokeo ya Ajira Walioitwa kwenye Usaili Buhigwe 2025

Haya hapa matokeo ya ajira na majina ya Walioitwa kwenye Usaili Buhigwe...

Matokeo ya Ajira Walioitwa kwenye Usaili Malinyi 2025
Ajira

Matokeo ya Ajira Walioitwa kwenye Usaili Malinyi 2025

Haya hapa matokeo ya ajira na majina ya Walioitwa kwenye Usaili Malinyi...