Haya hapa Matokeo ya Usaili Ajira Portal PDF 13/05/2026 usaili wa vitendo Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) ni chombo cha serikali chenye hadhi ya Idara huru kilichoanzishwa mahsusi kurahisisha mchakato wa ajira kwa Watumishi wa Umma. Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili kama ilivyoelekezwa. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho.
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ilianzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyofanyiwa marekebisho kwa Sheria Na. 18 ya mwaka 2007, kifungu cha 29(1).
Matokeo ya Mei, 2026
- ARTISANS II – PLUMBING
- TECHNICIAN II (WATER QUALITY LABORATORY)
- TECHNICIAN II (PLUMBING)_2
- TECHNICIAN II (PLUMBING)
- TECHNICIAN II (ASSISTANT TO ACADEMICIAN) – WATER SUPPLY ENGINEERING
- TECHNICIAN II (ASSISTANT TO ACADEMICIAN) – WATER QUALITY LABORATORY
- MECHANICAL TECHNICIAN II
- ELECTRICAL TECHNICIAN
- ARTISANS II – MECHANICAL
- ARTISANS II – CIVIL
- ARTISANS II – ELECTRICAL
- ARTISAN GRADE II (Electrical)
- ARTISAN GRADE II (FITTER AND TURNER)
- ARTISAN GRADE II (FITTER MECHANICS)
- ARTISAN GRADE II (MASONRY AND BRICKLAYING)
- ARTISAN II (INDUSTRIAL LABORATORY)
- ARTISAN II (PLUMBING)
- CHEMIST II
- CONSERVATION OFFICER II – PROCUREMENT
- ESTATE OFFICER II (ARCHITECTURE)
- FINANCE MANAGEMENT OFFICER GRADE II
- LABORATORY TECHNICIAN II
- LIBRARIAN II
- LIBRARY ASSISTANT II (MNMA)
- LIBRARY ASSISTANT II
- LIBRARY OFFICER II
- LICENSING OFFICER II
- MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II – COMPUTER APPLICATIONS
- MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II – MAENDELEO YA AWALI YA MTOTO (EARLY CHILDHOOD DEVELOPMENT)
- MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II – UASHI NA UJENZI (BRICKLAYING AND MASONRY)
- MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II – UFUGAJI (LIVESTOCK KEEPING)
- TUTORIAL ASSISTANT (PROCUREMENT AND SUPPLY)
- TUTORIAL ASSISTANT (RECORDS AND ARCHIVE MANAGEMENT)
- TUTORIAL ASSISTANT (STATISTICS)
- TUTORIAL ASSISTANT (TOURISM)
- MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II – UFUNDI WA BOMBA (PLUMBING AND PIPE FITTING)
- MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII UMEME – (DOMESTIC ELECTRICAL INSTALLATION)
- PUBLIC RELATIONS OFFICER II
- QUALITY ASSURANCE OFFICER II
- TECHNICIAN GRADE II (INDUSTRIAL ELECTRICAL)
- TECHNICIAN GRADE II (MECHANICAL)
- TECHNICIAN II – MECHANICAL
- TECHNICIAN II (PLUMBING)
- TRAINING OFFICER GRADE II
- TUTOR II – RECORDS AND ARCHIVES MANAGEMENT
- TUTOR II (LIBRARY AND INFORMATION MANAGEMENT)
- TUTORIAL ASSISTANT (ACCOUNTANCY)
- TUTORIAL ASSISTANT (STATISTICS)
- TUTORIAL ASSISTANT – ECONOMICS
- TUTORIAL ASSISTANT – GENDER STUDIES
- TUTORIAL ASSISTANT – HUMAN RESOURCE MANAGEMENT
- TUTORIAL ASSISTANT (ACCOUNTANCY)
- TUTORIAL ASSISTANT (BUSINESS ADMINISTRATION)
- TUTORIAL ASSISTANT (HUMAN RESOURCE MANAGEMENT PUBLIC ADMINISTRATION)
- TUTORIAL ASSISTANT (MATHEMATICS)
- TECHNICIAN II (PLUMBING)
- TECHNICIAN II (WATER QUALITY LABORATORY)
- TUTOR II – INFORMATION COMMUNICATION TECHNOLOGY
- TUTOR II (CHEMISTRY)
- TUTOR II (CIVIL ENGINEERING)
- TUTOR II (COMMUNITY DEVELOPMENT)
- TUTOR II (HYDROLOGY)
- TUTOR II (MICROBIOLOGY)
- TUTOR II (QUANTITY SURVEYING)
- TUTOR II (QUANTITY SURVEYING)
- TUTOR II (SANITATION ENGINEERING)
- TUTOR II (STRUCTURAL ENGINEERING)
- TUTOR II (STRUCTURAL ENGINEERING)
- TUTOR II (WATER SUPPLY ENGINEERING)
- TUTORIAL ASSISTANT (MECHATRONICS ENGINEERING)
- TUTORIAL ASSISTANT (ARCHITECTURE)
- INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY OFFICER II (SYSTEM ADMINISTRATOR)
- INFORMATION COMMUNICATION TECHNOLOGY OFFICER (SECURITY)
- INFORMATION COMMUNICATION TECHNOLOGY OFFICER II (DATABASE ADMINISTRATOR)
- MEDICAL PHYSICISTS II
- RADIOCHEMIST II
- RADIOGRAPHER II
- RESEARCH ASSISTANT II (CHEMISTRY)
- RESEARCH ASSISTANT II (MICROBIOLOGIST)
- RESEARCH ASSISTANT II (NUTRITION)
- RESEARCH ASSISTANT II (PHARMACY)
- TECHNICIAN II (PLUMBING)
- TECHNICIAN II (ASSISTANT TO ACADEMICIAN) – CIVIL ENGINEERING
- TECHNICIAN II (ASSISTANT TO ACADEMICIAN) – WATER QUALITY LABORATORY
- TECHNICIAN II (ASSISTANT TO ACADEMICIAN) – WATER SUPPLY ENGINEERING
- TECHNICIAN II (CIVIL ENGINEERING)
- ASSISTANT INSTRUCTOR II (PLUMBING)
- ASSISTANT INSTRUCTOR II (HYDROLOGY)
- ASSISTANT INSTRUCTOR II (PLUMBING)
- ASSISTANT INSTRUCTOR II (WATER QUALITY)
- ASSISTANT INSTRUCTOR II (WATER SUPPLY)
- ASSISTANT TUTOR II (CIVIL ENGINEERING)
- ASSISTANT TUTOR II (COMMUNITY DEVELOPMENT)
- ASSISTANT TUTOR II (LAND SURVEYING)
- ASSISTANT TUTOR II (WATER QUALITY)
- ASSISTANT TUTOR II (WATER SUPPLY)
- CONSERVATION OFFICER II – CORPORATE COMMUNICATION
- CONSERVATION OFFICER II – LEGAL SERVICES
- CONSERVATION OFFICER II – WILDLIFE MANAGEMENT-LAW ENFORCEMENT
- CONSERVATION OFFICER II PLANNING
- CONSERVATION RANGER II – ACCOUNTS
- CONSERVATION RANGER II – INFORMATION COMMUNICATION TECHNOLOGY
- CONSERVATION RANGER II – RECORDS MANAGEMENT
- ICT OFFICER II (DATA BASE ADMINISTRATION)
- ICT OFFICER II (NETWORK ADMINISTRATION)
- INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY OFFICER II (NETWORK ADMINISTRATOR)
- AFISA TEHAMA MSAIDIZI DARAJA LA II
- FUNDI SANIFU DARAJA LA II -UMEME (TECHNICIAN GRADE II ELECTRICAL) (1)
Makala: Matokeo ya Kidato cha Sita 2026
Dira
Kuwa Kituo Bora cha Umahiri katika Ajira za Utumishi wa Umma katika ukanda huu.
Dhima
Kutekeleza mchakato wa ajira kwa Watumishi wa Umma kwa kutumia mbinu za kisasa kwa kuzingatia misingi ya usawa, uwazi na kustahili, pamoja na kutoa ushauri kwa waajiri kuhusu masuala yanayohusu ajira.
Majukumu ya Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
Jukumu kuu la PSRS ni kurahisisha mchakato wa ajira katika Utumishi wa Umma. Kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Sura ya 298 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria ya Marekebisho Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu cha 29(1), majukumu ya PSRS ni:
- Kutafuta wataalamu mbalimbali wenye ujuzi maalum na kuandaa hifadhidata ya wataalamu hao kwa ajili ya urahisi wa ajira;
- Kusajili wahitimu na wataalamu kwa madhumuni ya urahisi wa marejeo wakati wa kujaza nafasi wazi;
- Kutangaza nafasi za kazi wazi zilizopo katika utumishi wa umma;
- Kuwahusisha wataalamu husika kwa madhumuni ya kuendesha usaili;
- Kutoa ushauri kwa waajiri kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu ajira; na
- Kufanya kazi nyingine yoyote au jambo lolote litakaloelekezwa na Waziri mwenye dhamana ya Utumishi wa Umma.
Maadili ya Msingi
Maadili ya msingi ya PSRS ni nguzo za utendaji kazi na mwenendo katika kukabiliana na mabadiliko ya kijamii, kiserikali, kisiasa, na kiteknolojia. Ambayo ni:
- Ufuatiliaji wa umahiri katika utoaji wa huduma;
- Uaminifu kwa Serikali;
- Bidii kazini;
- Uadilifu;
- Heshima kwa wote;
- Kuheshimu sheria; na
- Matumizi sahihi ya taarifa rasmi.
Soma zaidi:
Leave a Reply
View Comments